Huduma Zetu
Idara ya Kinywa na Meno
Karibu Idara ya Kinywa na Meno katika Hospital ya Rufaa ya Mkoa Temeke tunajivunia kutoa huduma bora za afya ya kinywa na meno kwa jamii inayotuzunguka, pamoja na wageni kutoka sehemu mbalimbali nchini. Tunajikita katika kutoa...
IDARA YA RADIOLOJIA
Karibu kwenye Idara yetu ya Radiolojia, kitovu cha uchunguzi wa hali ya juu kupitia miozi, mawimbi sauti na sumaku. Sisi ni timu yenye ujuzi wa wataalamu wa radiolojia wanaotumia teknolojia za kisasa kutoa huduma bora kwa wagonjwa...