Ukaribisho

profile

Dkt. Joseph G Kimaro
Medical Officer Incharge(MOI) MMed (Obstetric & Gynaecology)

Karibu kwenye tovuti rasmi ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke (TRRH). Tunafurahi kuwa umetembelea tovuti yetu na tunakualika kujifunza zaidi kuhusu TRRH na kuchunguza fursa zilizopo kupitia hospitali yetu. Tovuti hii ni chombo muhimu kutusaidia kuwasiliana nawe.

TRRH inajumuisha watoa huduma wa kada ya afya na wasio kada ya afya na wote tunafanya kazi kuhakikisha huduma bora za afya zinapatikana kupitia hospitali yetu. Na kupitia tovuti hii maalum tunaamini itarahishisha mawasiliano zaidi na umma na watu tunawatumikia.

Kupitia tovuti hii, utaweza kutafuta habari unazohitaji, kupata habari nyingine muhimu kuhusu TRRH, kujifunza zaidi kuhusu taratibu na huduma zinazopatikana na taarifa mablimbali kuhusu Afya,

Tunakaribisha maoni yako na maoni wakati tunazidi kuboresha huduma zetu na tovuti hii. Karibu sana katika Tovuti ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke